Skip to main content
Skip to main content

Mtoto wa miezi 8 apoteza kidole kwenye hospitali ya kibinafsi Nairobi

  • | Citizen TV
    10,863 views
    Duration: 3:01
    Baraza la madaktari nchini KMPDC linachunguza kisa kingine cha utepetevu wa afya ambapo mtoto wa miezi 8 aliripotiwa kukatwa kidole akiwa anatibiwa katika hospitali ya kibinafsi hapa Nairobi. Hali hii ikisababisha kuoza kwa kidole cha mtoto huyo na baadaye kuwalazimu madaktari kukikata.