Mtu mmoja auwawa na umeme wa mvua Chesiliot Bomet

  • | Citizen TV
    2,588 views

    Shirika la Msalaba mwekundu limeonya kuwa hatua za dharura zinafaa kuchukuliwa ili kukabiliana na mafuriko nchini huku baraza la magavana likitaka mabilioni ya pesa iliyotengwa kukabiliana na mvua ya El-Nino kutumika kuwapa msaada waliohama kwao kutokana na mafuriko. Kufikia jumanne wiki hii ,zaidi ya familia elfu themanini na mbili zimehama kwao huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha