- 1,734 viewsDuration: 2:25Mtu mmoja amezuiliwa na maafisa wa polisi katika operesheni dhidi ya dawa za kulevya huko Kisumu ambapo bangi ya thamani ya shilingi milioni nne ilinaswa. Mshukiwa huyo anadaiwa kuhusika na uuzaji wa dawa za kulevya huku mafungu zaidi ya bangi yalipatikana karibu na shule ya upili ya Ahero.