- 654 viewsDuration: 1:55Makundi ya haki za binadam sasa yanamtaka mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi na balozi wa Kenya nchini Uganda kujiuzulu kwa utepetevu wao kuhusu wakenya wawili wanaoendelea kuzuiliwa nchini Uganda. Wanaharakati hawa wanadai kuwa Bob Njagi na Nicholas Oyoo wako katika hali mbaya ya kiafya wanakozuiliwa Uganda.