Skip to main content
Skip to main content

Mudavadi atuma zawadi za fahali huko Opoda kama shukrani kwa mchango wa Raila kwa nchi

  • | KBC Video
    1,283 views
    Duration: 2:14
    Viongozi waliendelea kutoa rambirambi zao kwa aliyekuwa waziri mkuu marehemu Raila Odinga wakati huu kwa njia tofauti. Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi pamoja na gavana wa Trans Nzoia George Natembeya waliongoza ujumbe hadi nyumbani kwa marehemu huko Opoda, Bondo, kaunti ya Siaya wakipeleka zawadi za mafahali na mahindi, kuonyesha shukrani kwa mchango wa marehemu Raila Odinga kwa taifa hili, safari yake ya kupigania haki, demokrasia na umoja miongoni mwa jamii nyingi nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive