Skip to main content
Skip to main content

Mume aliyemchoma mkewe ahukumiwa miaka 40 Jela

  • | Citizen TV
    460 views
    Duration: 1:09
    Mahakama ya Bomet imemuhukumu miaka 40 gerezani mwanamume aliyepatikana na hatia ya kumuua mkewe kwa kumteketeza miaka mitano iliyopita.