17 Nov 2025 1:12 pm | Citizen TV 559 views Duration: 1:30 Mahakama mjini Kitale imemwachilia kwa dhamana ya shilingi laki mbili mume wa mwanamke aliyetoweka miezi miwili iliyopita, Caroline Mokeira.