23 Apr 2026 10:16 am | Citizen TV 252 views Duration: 1:44 Muungano wa maafisa kliniki kaunti ya Bungoma umesitisha huduma zake katika hospitali za umma wakilalamikia serikali ya kaunti kwa kukosa kutimiza matakwa yao.