16 Apr 2026 1:27 pm | Citizen TV 1,207 views Duration: 1:44 Muungano wa maafisa tabibu unashinikiza kufungwa mara moja kwa Hospitali ya Ishiara Level 4, ikisema hali yake ni tishio kubwa kwa afya ya umma.