24 Nov 2025 1:20 pm | Citizen TV 2,005 views Duration: 2:04 Wabunge wanaoegemea mrengo wa upinzani wameendeleza shtuma dhidi ya serikali, kwa madai ya kutumia hela na rasilmali za umma kuwahonga wapigakura