Skip to main content
Skip to main content

Mvua kubwa yaleta mafuriko Mombasa, kituo cha polisi chaathirika

  • | Citizen TV
    9,743 views
    Duration: 3:02
    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha imesababisha mafuriko katika sehemu nyingi za kaunti ya mombasa. Miongoni mwa sehemu zilizoharibiwa na athari za mvua ni kituo cha polisi cha Inuka eneobunge la Likoni na hata hospitali kadhaa. Kaunti ya Mombasa sasa inasema inahitaji shilingi bilioni 300 kukabili hali hii.