Mwakilishi wa Kike wa Kisii ataka wabunge wawajibike kuhusu Mswada wa Fedha

  • | Citizen TV
    1,376 views

    Mjadala kuhusu Mswada wa Fedha 2023 ukizidi kuzua gumzo kote nchini ,Mwakilishi wa Kike Kaunti ya Kisii Dorice Aburi ameapa kufanya mazungumzo na wabunge wote waliochaguliwa kutoka eneo la Gusii kuubwaga bungeni kama njia moja wapo YA kupunguza mzigo kwa wananchi ambao wanazidi kulemewa ugumu wa maisha.