- 4,259 viewsDuration: 2:44Familia moja katika mtaa wa huruma hapa nairobi inaomboleza kifo cha jamaa yao aliyepigwa risasi wakati wa ghasia za uchaguzi nchini tanzania. John Okoth Ogutu aliyekuwa mwalimu katika shule moja jijini Dar es Salaam alikohudumu kwa miaka 10 alipigwa risasi na kuuawa. Ben kirui alizungumza na familia yake na hii hapa taarifa.