Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke Bomba | Mwanabiashara wa keki anayeendesha familia yake kupitia baiskeli ya biashara

  • | Citizen TV
    1,909 views
    Duration: 4:44
    Aziza Robbie ni mwanabiashara wa kuuza keki kutoka katika mtaa wa Dandora phase 2 hapa jijini Nairobi. Mama huyo mwenye umri wa miaka 32 husafirisha keki hizo kutoka kwenye viwanda vya kariobangi light industries kwa baisikeli Hadi Dandora, ambako huzungusha keki hizo na kuwauzia wenye maduka. Kazi hiyo imemwezesha kumudu majukumu ya kuwalea wanawe watatu na kumudu mahitaji yao ya nyumbani na masomo. Hii leo, tunamvisha taji Aziza Robbie kwenye makala ya mwanamke bomba.