11 Nov 2025 12:19 pm | Citizen TV 48 views Duration: 24:10 Shughuli za watoto na vijana wakati huu wa likizo ndefu Kila kaunti ina wizara ya vijana, sanaa na michezo Je, kuna maeneo maalum yaliyotengewa watoto kuchezea? Changamoto za ukosefu wa sehemu za michezo kwenye kaunti