Skip to main content
Skip to main content

Mwili mwingine wapatikana Chesongoch wiki moja baada ya mkasa wa vifo 38

  • | Citizen TV
    476 views
    Duration: 2:38
    Mwili mmoja zaidi ulipatikana katika eneo la Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet, wiki moja baada ya mkasa uliosababisha vifo vya watu thelathini na nane. Licha ya serikali kuu kuahidi kuwashugulikia waathiriwa, juhudi za kuwatafuta watu kumi sasa inafanywa na wakaazi wenyewe