- 612 viewsDuration: 1:15Mwili wa pili umeondolewa kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka mtaani South C, jijini Nairobi, huku Waziri wa ardhi na nyumba Alice Wahome akisisitiza kuwa Kaunti ya Nairobi ndiyo iliyofeli kwa kuidhinisha ujenzi wa ghorofa zaidi kwenye jengo hilo.