Mwisho wa Jaji Said Chitembwe

  • | Citizen TV
    1,609 views

    Aliyekuwa Jaji wa mahakama kuu Said Chitembwe atasalia kuwa raia baada ya Mahakama ya juu kuidhinisha kutimuliwa kwake kama jaji. Hii ni kufuatia rufaa aliyoiwasilisha kupinga uamuzi wa jopokazi lililobuniwa kumchunguza. Seth Olale anaarifu kuhusu mwisho wa safari ya Jaji huyu wa zamani