Mzozo wa ardhi Kwale

  • | Citizen TV
    96 views

    Mbunge wa eneo la Msambweni katika kaunti ya Kwale Feisal Bader amepinga kutengwa kwa bahari ya Diani-Chale kuwa hifadhi ya bahari iliyoorodheshwa kwenye gazeti rasmi la serikali mwaka wa 1995