Mzozo wa hospitali ya Londiani

  • | Citizen TV
    185 views

    Wakazi wa eneo bunge la Kipkelion Mashariki walifanya mkutano wa kupinga vikali jaribio lolote la kuhamisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Londiani yenye thamani ya Shilingi bilioni 8 kutoka eneo lililokusudiwa awali karibu na mji wa Londiani