Skip to main content
Skip to main content

Naibu rais Kindiki akagua ujenzi wa Uwanja wa Talanta

  • | Citizen TV
    738 views
    Duration: 1:10
    Naibu rais Kithure Kindiki mapema leo alikagua maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa michezo wa Talantaunaoendelea kujengwa.Kindiki alimpongeza mkandarasi wa mradi huo kwa kasi ya ujenzi, akisema serikali imejitolea kuhakikisha uwanja huo unakamilika kwa wakati na kufikia viwango vinavyohitajika kwa mashindano ya kimataifa.