Skip to main content
Skip to main content

Naibu Rais Kithure Kindiki awataka wasafiri kuzingatia sheria za trafiki

  • | Citizen TV
    359 views
    Duration: 1:31
    Naibu rais kithure kindiki amewataka madereva na watumizi wengine wa barabara kuwa makini ili kuzuia ajali zinazotokana na utepetevu barabarani. Akizungumza na wakazi wa tharaka nithi pamoja na majirani zao waliofurika nyumbani kwake irunduni kwa sherehe za krismasi, kindiki alisema ingawa serikali inajizatiti kukamilisha miradi ya ujenzi wa barabara nyingi nchini, wasafiri wote wanatakiwa kuzingatia nidhamu na sheria za trafiki ili kuzuia maafa barabarani.