Skip to main content
Skip to main content

Naibu wa Rais Kithure Kindiki akemea maandamano akisema upinzani unachochea vijana kuzua ghasia

  • | Citizen TV
    1,305 views
    Duration: 1:31
    Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amewataka viongozi wa upinzani kuwacha kuwachochea vijana kuzua ghasia kwenye maandamano akisema sio suluhisho ya bei ya juu ya mafuta.