Skip to main content
Skip to main content

Narok: Gachagua atimuliwa, kampeni zashuhudi migongano

  • | Citizen TV
    9,632 views
    Duration: 45s
    Kizaazaa kilishuhudiwa kaunti ya narok pale kinara wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, alipozuiliwa njiani alipokuwa anaelekea kumpigia debe mgombea wa chama chake katika kinyanganyiro cha uwakilishi wadi Narok Mjini, Douglas Masikonde.