Skip to main content
Skip to main content

Natembeya akosoa serikali kwa kuwahangaisha wafuasi wake

  • | Citizen TV
    379 views
    Duration: 1:48
    Gavana wa kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya aitaka serikali kuwacha kuwadhulumu wale wanaokosoa serikali, akisema hali hiyo inawanyima Wakenya uhuru wao wa kidemokrasia na haki ya kutoa maoni yao kwa uwazi.