Skip to main content
Skip to main content

Nauli zapanda Migori baada ya bei ya mafuta kupanda

  • | Citizen TV
    264 views
    Shughuli za usafiri zatatizika katika kaunti ya Migori baada ya wahudumu wa matatu kuongeza nauli kufuatia kuongezeka kwa bei ya mafuta usiku wa kuamkia leo.