Skip to main content
Skip to main content

Ndindi Nyoro asema serikali kupata hasara baada ya kuuza 15% ya hisa za Safaricom

  • | Citizen TV
    23,413 views
    Duration: 12:15
    Mbunge wa Kiharu Ndidi Nyoro amesema kuwa hatua ya serikali kuuza hisa zake za kampuni ya Safaricom ni ya kibinafsi kwani serikali itapata hasara kubwa. Nyoro anasema kuwa wakenya watapoteza pesa nyingi sana kwenye uuzaji huo kwani hisa moja itauzwa kwa shilingi thelathini na tano ilhali kwa sasa bei ya hisa ni shilingi arobaini na tano.