Skip to main content
Skip to main content

NOCK yakaribisha AANOA nchini

  • | Citizen TV
    357 views
    Duration: 45s
    Kenya kupitia kamati ya olimpiki nchini NOCK inaandaa kongamano la muungano wa Akademia za Olimpiki Afrika (AANOA). Viongozi kutoka idara za michezo na utafiti watakuwa nchini kwa siku tatu kujadili na kuvumbua mbinu mpya za kukuza michezo ya olimpiki barani Afrika.