Skip to main content
Skip to main content

NTSA yajitetea kuhusu mfumo mpya wa kuwapiga faini Wakenya papo hapo wanapopatikana na hatia

  • | NTV Video
    41 views
    Duration: 1:22
    NTSA imejitetea kuhusu mfumo mpya wa kuwapiga faini Wakenya papo hapo wanapopatikana na hatia barabarani. Kulingana na Mkurugenzi Mkuu wa NTSA, Nashion Kondiwa, mfumo wa faini za papo kwa papo unatumia kamera za kisasa na una lengo la kuimarisha uadilifu katika sekta ya usafirishaji na kuondoa ufisadi. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya