Skip to main content
Skip to main content

Nyende aliyeshtakiwa kwa kuchapisha picha za uongo kuhusu Rais Ruto mtandaoni apewa dhamana

  • | KBC Video
    666 views
    Duration: 3:06
    Mahakama moja jijini Nairobi imempa dhamana mwanamme aliyeshtakiwa kwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu Rais William Ruto mtandaoni. Harrison Nyende Mumia anakabiliwa na mashtaka kadhaa chini ya Sheria ya Matumizi Mabaya ya mitandao ya kijamii. Mengi zaidi ni katika kitengo chetu cha mizani ya haki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive