Nyumba za bei nafuu kujengwa Nasewa, kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    513 views

    Idara ya Nyumba kwa ushirikiano na serikali ya Kaunti ya Busia iko mbioni kujenga nyumba Kadhaa Kupitia Mradi wa Kitaifa Wa Nyumba za bei Nafuu Katika Shamba la Nasewa viungani mwa Mji wa Busia.