23 Jan 2026 10:49 am | Citizen TV 1,105 views Duration: 8:18 Serikali inapania kuwapa ajira waliofuzu kutoka vyuo vikuu kwa kuwajumuisha kwenye mpango wa ujenzi wa nyumba za nafuu. Rais William Ruto anakutana na wanafunzi waliofuzu katika ikulu ya nairobi ili kuzindua mpango huo.