4 Nov 2025 10:21 am | Citizen TV 1,343 views Duration: 1:44 Msaidizi wa Rais Farouk Kibet , aliwaongoza baadhi ya viongozi wa magharibi kumpigia debe mgombea wa kiti cha ubunge cha Malava kwa tikiti ya UDA, David Ndakwa.