- 1,194 viewsDuration: 2:54Serikali sasa imewaonya walimu wakuu wanaodinda kuwasajili wanafunzi wa gredi ya 10 kuwa wataachishwa kazi. Waziri wa elimu Migos Ogamba na Naibu Rais Kithure Kindiki wakizungumza kwenye hafla tofauti wakiwataka walimu kutii agizo la Rais William Ruto kuwataka kuwasajili wanafunzi hata bila karo wala sare.