Operesheni maliza uhalifu kufanyika kaunti 3 zaidi

  • | Citizen TV
    1,031 views

    Waziri wa usalama Profesa Kithure Kindiki ametangaza operesheni ya kiusalama kaunti za Meru, Isiolo na Marsabit kuanzia mwezi ujao. Operesheni hii ni sawa na ile inayoendelea katika baadhi ya maeneo ya Rift Valley kuwasaka wavamizi na wezi wa mifugo wanaoyumbisha usalama na hata kuwaua maafisa wa polisi. Kindiki aliyefanya kikao na viongozi wa usalama kutoka kaunti za Isiolo, Meru, Marsabit na Samburu amewaonya maafisa wa utawala wanaoshirikiana na wahalifu