31 Oct 2025 1:21 pm | Citizen TV 4,812 views Duration: 3:03 Operesheni ya usalama Maliza Uhalifu imeongezwa muda katika Msitu wa Mukogodo, huku awamu mpya ikizinduliwa eneo la Kirimon, Laikipia Kaskazini, kwa lengo la kuwasaka na kuwatoa majangili waliokuwa wakijificha msituni