Patrice Lumumba: Simulizi ya kifo cha shujaa wa DRC

  • | BBC Swahili
    6,348 views
    Hayati Patrice Lumumba aliuawa kikatili na wakoloni Ubelgiji. Mwili wake uliteketzwa moto huku sehemu zilizobakia zikiyeyeyushwa kwenye tindikali chini ya mwaka mmoja tangu alipochaguliwa kuwa waziri mkuu mdogo zaidi Afrika akiwa na umri wa miaka 34 pekee. Tazama yote unayostahili kufahamu kumhusu mwanamapinduzi huyu shujaa wa uhuru wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo #bbcswahili #drc #viongozo #historia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw