- 98 viewsDuration: 1:07Peter Njenga, mkazi wa Kasarani jijini Nairobi, amejishindia shilingi nusu milioni katika shindano la sort January kishabiki. Njenga anasema kucheza pole pole na kwa umakini kila siku ndio imletea ushindi huu. Anawahimiza wachezaji wenye Shabiki kucheza kimkakati, akisisitiza kuwa ushindi ni hakika. Amesema atatumia fedha hizo kuwekeza katika biashara ili kukimu familia yake.