Polisi kaunti ya Taita wanazuilia lori liliobeba mamia ya mitungi ya ethanol

  • | K24 Video
    12 views

    Polisi huko mwatate katika kaunti ya Taita Taveta wanazuilia lori liliobeba mamia ya mitungi ya ethanol inayokadiriwa kuwa mamilioni ya pesa. Kwa mjibu wa polisi wanasaka pia dereva wa lori hilo anayesemekana kutoroka baada ya kusimamishwa na maafisa wa polisi kwenye barabara ya mwatate kuelekea taveta mapema leo