- 3,334 viewsDuration: 2:01Maafisa wa polisi kaunti ya Kisii wameanzisha uchunguzi wa kina kufuatia kifo cha mwanafunzi mmoja wa gredi ya saba katika shule ya msingi ya wavulana ya Mosocho kaunti ya Kisii baada ya mtoto huy kuanguka ghafla na kuaga dunia muda mfupi baadaye.