Skip to main content
Skip to main content

Polisi Kwale wamuokoa kijana aliyedaiwa kufungwa minyororo kwa miezi mitano

  • | Citizen TV
    33,814 views
    Duration: 4:04
    Polisi katika Kaunti ya Kwale County wamemuokoa mwanaume mwenye umri wa miaka 22 katika kijiji cha Mwamanga, eneo la Bongwe-Gombato, baada ya kudaiwa kufungwa kwa minyororo kwa kipindi cha miezi mitano katika boma la mganga wa kienyeji.