20 Jan 2026 10:14 am | Citizen TV 649 views Duration: 2:34 Maafisa wa polisi kutoka mpakani Namanga, Kaunti ya Kajiado, wamewakamata washukiwa wawili na kunasa bangi ya thamani ya shilingi milioni 2.5 iliyokuwa ikisafirishwa kuelekea jijini Nairobi...