- 10,417 viewsDuration: 3:23Kizaazaa kilishuhudiwa kati ya wakazi wa mtaa wa Mukuru kwa Njenga na polisi hapa Nairobi mapema hii leo kufuatia ubomoaji wa majengo kupisha upanuzi wa Barabara. Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja alijipata katikati ya vurugu hizo alipofika eneo hilo kutathmini hali, huku polisi wakikabiliana na wakazi waliokuwa wakipinga zoezi hilo. Gavana Sakaja akilaani ubomoaji huo, na kuamuru zoezi hilo lisimamishwe mara moja.