Skip to main content
Skip to main content

Polisi Tanzania yasema hali ni shwari asubuhi ya siku ya Saba saba

  • | BBC Swahili
    5,051 views
    Duration: 1:41
    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania na Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Alphonce Misime amesema hali ya usalama katika viwanja vya Sabasaba na jiji la Dar es Salaam imeimarishwa huku jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama vikiwatoa hofu wananchi wanaofika katika viwanja hivyo. Hatua hii inakuja huku kukiwa na wito wa maandamano kutoka kwa baadhi ya wanaharakati wa mitandaoni, wakidai mabadiliko na uwajibikaji kwa serikali. #bbcswahili #tanzania #usalama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw