Polisi wakanusha kuhusika na mauaji ya waandamanaji waliuwawa na polisi mwezi Juni

  • | Citizen TV
    1,691 views

    Aliyekuwa OCS wa kituo cha polisi cha Kamukunji,Inspekta mkuu Robert Mugo amekanusha kuwa waandamanaji waliuwawa na polisi kati ya tahere 18 na 20 mwezi Juni mwaka jana wakati wa maandamano ya Gen z.