Skip to main content
Skip to main content

Raia mmoja wa Somalia aachiliwa kwa dhamana ya ksh. 200,000 kwenye kesi ya ulaghai

  • | Citizen TV
    538 views
    Raia mmoja wa Somalia, Salma Osman Gureye , ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki mbili pesa taslimu kwenye kesi ya ulaghai na kutoa habari za uwongo kwa afisa wa serikali. Mshukiwa huyo aliwasilishwa katika mahakama ya Makadara ambapo upande wa mashtaka ulikuw aumeomba azuiliwe kwa siku kumi ili kuwawezesha maafisa a usalama kukamilisha uchunguzi. Mshukiwa huyo anatuhumiwa kwenye kesi ya ulaghai wa dola 394,209 za marekani.Kesi hiyo pia inawahusisha watu wengine watatu wanaodaiwa kuwa washirika wake.