Raila amtaka Rais Ruto kuwafidia familia ya vijana wa Gen Z waliouawa wakati wa maandamano

  • | Citizen TV
    2,151 views

    Raila: Gen Z Wafidiwe Raila Amtaka Rais Ruto Kuwafidia Walioathirika Anasema Hii Ndio Njia Pekee Ya Kuhakikisha Uwiano Amesema Msamaha Wa Rais Ni Mwanzo Wa Maridhiano Amezungumza Kwenye Sherehe Za Madaraka Homa Bay