19 Nov 2025 1:19 pm | Citizen TV 473 views Shirika la afya duniani (WHO) limemkabidhi Rais William Ruto msaada wake wa ambulensi 14 za kisasa pamoja na dawa zenye thamani ya jumla ya shilingi milioni 350 ili kuboresha huduma za afya