Rais asema hatatishwa na azma ya wapinzani wake

  • | Citizen TV
    1,632 views

    Rais William Ruto leo amerejelea kauli yake ya kuwataka viongozi wa upinzani kukoma kuchochea wananchi na vijana kushiriki maandamano ya uharibifu wa mali.