19 Dec 2025 1:16 pm | Citizen TV 768 views Duration: 1:37 Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amepongeza juhudi za Chuo Kikuu cha Kabarak kuwekeza katika umeme wa miale ya jua, akisema hatua hiyo ni njia moja ya kuimarisha matumizi ya nishati ya stima.